Madaktari na timu ya Kupambana na Corona kutoka Kituo Cha Afya Tinde walitupima viwango vya Joto Abiria wote na Kisha Kujulisha Kamati ya Ufuatiliaji wa Corona ambapo walijadili kwa Muda Majira ya saa 1:15 Jioni Afisa mwenyewe mamlaka Alitoa Kibari Cha Kuendelea na Safari