wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,216
Mungu mwema mkuu.Jana nimekuepo kwa ofisi hiyo nikate tiketi ya kuja dar leo tareh 12 ila kabla sijakata napata taarifa iliyosababiaha niisogeze safari hadi jumatatu.
Mungu awatie nguvu majeruhi wapone haraka, RIP kwa marehemu.
Hakika ππΎ
Ukatoe na sadaka ya kumshukuru Mungu..Kila jambo hutokea kwa sababu fulaniJana nimekuepo kwa ofisi hiyo nikate tiketi ya kuja dar leo tareh 12 ila kabla sijakata napata taarifa iliyosababiaha niisogeze safari hadi jumatatu.
Mungu awatie nguvu majeruhi wapone haraka, RIP kwa marehemu.
Ajali zimekuwa nyingi sana. Pole kwa wafiwa na majeruhi CCM Must goBasi hilo lililokua linatokea Mwanza kuja Dar es Salaam limepata ajali maeneo ya Hungumalwa kata ya Kwimba mkoani Mwanza.
Ajali hiyo imetokea baada ya basi kuparamia lori la mbao.
Hali za abiria ni majeruhi na vifo vipo kwa dereva wa lori.
View attachment 2715170
Hakika ππΎππΎUkatoe na sadaka ya kumshukuru Mungu..Kila jambo hutokea kwa sababu fulani