Basi la mashabiki lililoenda Lesotho lageuka la walevi na anasa. Hadi sasa hawajafika Dar toka watoke Lesotho

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
-Basi la mashabiki lililoenda Lesotho kuisapoti timu yetu ya Tanzania kwenye mchezo kufuzu Afcon 2019 kupitia Mbeya hadi Afrika Kusini sasa limegeuka basi la Walevi na wafanya Starehe. Basi hilo limeondoka Lesotho siku ya Jumatatu hadi sasa bado halijafika jijini Dar. Ikifika usiku kituo cha kupata chakula wanakaa hata masaa hata 7 wanakula, wanakunywa wanavyojisikia na wengine wanaenda Disco.

-Basi hilo limeingia Tanzania jana ila mwendo wa kutuka Tunduma hadi mbeya wanafanya wanajisikia ili hali kuna baadhi ya watu ambao ni waandishi wa habari wapo kwenye hilo basi na walikuwa na muda maalumu wa kurudi kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi ila kiongozi wa msafari naye ameingia kwenye mkumbo wa mashabiki na analifanya gari la taasisi kama mali yake ambaye imebeba walevi akiamua hata asimame mwanjela anunue Heiken Moja (mfano tu) sawa tu kwa kuwa yeye ni mkuu wa msafara.
Source: Yossima
 
Hatareeee

Acha upuuzi, unasema halijafika...then unasema limefuka. Unawashwa.
 
Likifika ipogoro jaman waambie wapandishe mlima waje huku mjini. Kuna kijiwe kizuri sana kinaitwa sunset, kipo gangilonga mlimani. Watanikuta tayar Nisha wawekea kreti zao za kutosha.
cc sweetlo Kaiser
Asprin, Madame B, cacico, amu
Mkuu kutakuwa kutamu sana pale sunset kibaya sijawahi fika aiseh ngoja Christmass niende nikapime ubavu.... Bei zipo juu sana au???
 
Likifika mdaula unitaarifu

Back
Top Bottom