Shem mie nimebaki huku Lesotho.
Wabongo tunasema "nimezamia"
HahahahShem rudi huko hakukufai ujue.. yale mambo yetu huko sidhani kama yanapatikana.. Yale ambayo tulikosa siku ile pale Serena, remember..?🙂🙂
Mhhh shem, na kweli ukalala bila ya kusumbuliwa[emoji848][emoji848]Hahahah
Shem bhana.
Huku kuna kitu kingine cha snake, kipimo cha kijiko...unaokotwa Mtaroni.
Mwanamke ukiwekewa hiko, mwanaume anakuwa kama kashika remote.
Hatari sana shekhe.
Juzi nilionja pale Kigali, hahahah
Niliomba kwenda kulala bila usumbufu
Likiweza kuingia kwenye Ndege bila shaka atawapatia tu wasafiri nalo.Siku nyingine tunaweza pata ziara ya Madagascar halafu mwe basi atagoma kulitoa.
Acha unoko mwajuma nichokonoe-Basi la mashabiki lililoenda Lesotho kuisapoti timu yetu ya Tanzania kwenye mchezo kufuzu Afcon 2019 kupitia Mbeya hadi Afrika Kusini sasa limegeuka basi la Walevi na wafanya Starehe. Basi hilo limeondoka Lesotho siku ya Jumatatu hadi sasa bado halijafika jijini Dar. Ikifika usiku kituo cha kupata chakula wanakaa hata masaa hata 7 wanakula, wanakunywa wanavyojisikia na wengine wanaenda Disco.
-Basi hilo limeingia Tanzania jana ila mwendo wa kutuka Tunduma hadi mbeya wanafanya wanajisikia ili hali kuna baadhi ya watu ambao ni waandishi wa habari wapo kwenye hilo basi na walikuwa na muda maalumu wa kurudi kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi ila kiongozi wa msafari naye ameingia kwenye mkumbo wa mashabiki na analifanya gari la taasisi kama mali yake ambaye imebeba walevi akiamua hata asimame mwanjela anunue Heiken Moja (mfano tu) sawa tu kwa kuwa yeye ni mkuu wa msafara.
Source: Yossima
Kabisa shem.Mhhh shem, na kweli ukalala bila ya kusumbuliwa[emoji848][emoji848]
Una bahati yule bazazi hakuwapo[emoji1787][emoji1787]Kabisa shem.
Sikusumbuliwa
HahahaahhaUna bahati yule bazazi hakuwapo[emoji1787][emoji1787]
Haha! naunga mkono hojaNingekuwepo ningeshauri tupitie namibia angola drc ,kongo brazzaville,ivory cost,ghana,sieraleon,mauritania,timbuktu,tunisia,nisri,moroko,libya,sudan,ethiopia,somalia,kenya halafu tunatokea mombasa tukifila Tanga ni siku ya uchaguzi 2020.
-Basi la mashabiki lililoenda Lesotho kuisapoti timu yetu ya Tanzania kwenye mchezo kufuzu Afcon 2019 kupitia Mbeya hadi Afrika Kusini sasa limegeuka basi la Walevi na wafanya Starehe. Basi hilo limeondoka Lesotho siku ya Jumatatu hadi sasa bado halijafika jijini Dar. Ikifika usiku kituo cha kupata chakula wanakaa hata masaa hata 7 wanakula, wanakunywa wanavyojisikia na wengine wanaenda Disco.
-Basi hilo limeingia Tanzania jana ila mwendo wa kutuka Tunduma hadi mbeya wanafanya wanajisikia ili hali kuna baadhi ya watu ambao ni waandishi wa habari wapo kwenye hilo basi na walikuwa na muda maalumu wa kurudi kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi ila kiongozi wa msafari naye ameingia kwenye mkumbo wa mashabiki na analifanya gari la taasisi kama mali yake ambaye imebeba walevi akiamua hata asimame mwanjela anunue Heiken Moja (mfano tu) sawa tu kwa kuwa yeye ni mkuu wa msafara.
Source: Yossima
Tochi banaa-Basi la mashabiki lililoenda Lesotho kuisapoti timu yetu ya Tanzania kwenye mchezo kufuzu Afcon 2019 kupitia Mbeya hadi Afrika Kusini sasa limegeuka basi la Walevi na wafanya Starehe. Basi hilo limeondoka Lesotho siku ya Jumatatu hadi sasa bado halijafika jijini Dar. Ikifika usiku kituo cha kupata chakula wanakaa hata masaa hata 7 wanakula, wanakunywa wanavyojisikia na wengine wanaenda Disco.