Basi la mwendokasi lapata ajali mbaya sana!, laacha njia na kugonga sheli

Hapana majeruhi ni wawili dereva na abiria na uharibifu wa mali pia
Hahahaha!, mshana jr, majeruhi aliye kwenye kumbukumbu zetu Ni yule aliyekuja kutibiwa, kwa taarifa za kiintelijensia dereva anaendelea Na majukumu yake Kama kawaida!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…