THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Taarifa nilizozipata Ngasere ya kwenda Tunduma imepata ajali leo asubuhi, Julai 15, 2024. Mto nyomizi huko mbozi mkoa wa songwe Kwa taarifa watu wamekufa kwa idadi sijui ila kuna jamaa alikuwa kama Manager ya Ngasere Tunduma kafariki, alikuwa anaitwa Henry mtu wa Gairo.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.