THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Duuuu asilimia kubwa ya accident zinatokana na uendeshaji mbaya
Madeleva wakielewa hili tutapunguza haya matukio sana tena sana
Jamaa atakua upinde. Anawahi kujisafishaUmeshindwa hata kusema limepata ajari wapi….unahisi jamii forum kuna mashindano ya kutoa habari? Kama huna habari iliyo kamilika acha kiherehere …
Barabara ya Mbeya Tunduma eneo la MyoviziAjari imetokea eneo gani? Kwa picha niliyoona hapo, sidhan km kuna majeruhi, gari limevuka had kingo ya Daraja?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Asantepoleni
Pole sanaNimeshuhudia leo moyo umelipuka hatari
AmeenR.I.P
Du!Tatizo wanaendesha magari kama wanacheza game ndio shida.
Kafara hiloTaarifa nilizozipata Ngasere ya kwenda Tunduma imepata ajali leo asubuhi, Julai 15, 2024. Mto nyomizi huko mbozi mkoa wa songwe Kwa taarifa watu wamekufa kwa idadi sijui ila kuna jamaa alikuwa kama Manager ya Ngasere Tunduma kafariki, alikuwa anaitwa Henry mtu wa Gairo.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.
View attachment 3042846
Du!Duuuh,,RIP,,nimepanda hio gari mwaka 2020