Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Ukitizama tambo za mashabiki wa yanga juu ya ujio wa bus jipya huko mitandaoni ni jambo linalotatanisha na kustajabisha sana.
Sote tumeona picha zao wanazotumia huko mitandaoni ni tofauti na uhalisia kabisa.
Ningependa kuwaeleza ukweli wana yanga ile video ya dereva wao akinadi chuma chao kipya inaonyesha 100% lile bus ni TATA MAGNA (Tata marcopolo) kama la simba na sio scania Irizar kama mashabiki wao wanavyodai hivyo basi kwa hizi kelele siku bus likija toka kama tata patakuwa hapatoshi huku mitandaoni ni bora GSM wakaenda watafutia tu wana yanga bus ambalo mashabiki wao wanalipost kuwaepushia aibu na fedhea baadae.
Bus wanayoipost ni Scania irizar century bus mabayo ni outdated kwani ni toleo la miaka za zamani kwani hazizalishwi tena yapata zaodi ya miaka 10 sasa. Yao ni mtumba au mpya?
Tunajua ni tata na namba ni T*** DWN [emoji28][emoji28]