Baada ya Tambo nyingi mapicha picha ya zile penalty na kuwaletea dharau wale jamaa WA uturuki,
Jamaa wakaamua KUSHTAKI kwa mtu wanaemuamini na jirani yao karibu na kwao brother Conte,kilichojiri ni zaidi ya kipigo cha mbwa mwizi wazee WA kupaki basi,maana Leo basi limetekwa kabla halijatoka ubungo......Pedro huyo
Huku wakikumbushwa kuwa game inayofuatia ni Man City na sio mbali jumatano tu. View attachment 423059[/ATTACH]
Goli la Kante na kazi aliyoonyesha ukifananisha na bei ya mfaransa mwenzake unasikitika,Pia naona katika utangazaji WA mpira Garry Neville ni snitch ameonyesha kuumia sana Leo kila anapotoa maoni yake.