Basi aina ya Isuzu uwezo wa kubeba abiria 40,bila matatizo.lipo sokono kwa ajili ya kukodishwa kwa Ofisi,shule , sherehe kama harusi, nk au taasisi yoyote inayotambulika kwa hapahapa Dar es salaam (city limit) .
Bei ni TSH 150,000= kwa siku yaani mpaka saa 3 usiku.malipo ni kwa mwezi mmoja moja kwa moja kwenye akaunti ya kampuni
Dereva yupo kwa ajili ya kazi hiyo,kwa sasa lipo barabarani katika hali nziri kabisa.
mwenye nia ,tafadhali tuwasiliane.