njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Baada ya upande A kununua bus brand new la Tata Marcopolo na kuachana na lile la msaada walilopewa 2012 na Kilimanjaro Lager wadau wa upande B walilalamika sana na kuwashauri upande A waachane nalo siyo zuri bora lile yutong la model ya 2010 linalofanana nao.
Angalia hapa lilivyo, full ma screen, wi-fi...duuuh
Angalia hapa lilivyo, full ma screen, wi-fi...duuuh