njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Marcopolo ni body tu mkuu inaweza miwa scania au kampuni nyingineIvi MO ange nunua basi kama la Azam mbumbumbu fc si wangehisi wako juu ya dunia!! Kagera sugar ndio wakwanza kununua basi ambalo baadae MO amenunua basi Kama hilo na kuwapa Simba yaani Kagera Sugar wanaona gari la kawaida na atujasikia promo, Mbumbumbu fc wame nunua TATA la India kelele mitandaoni hazi ishi, ivi ingekua gari linatokea kampuni Kama Marcopol au Benz n.k ingekuaje!!! Aliyewaita Mbumbumbu hakukosea.
Mkuu umeongea Kwa uchungu Sana, inaonekana Uzi ulikulenga wewe, pole Sana mkuu, Usijali nyie mtanunua Hilo la Benz maana maisha ni kupanga na kupanga ni kuchaguaIvi MO ange nunua basi kama la Azam mbumbumbu fc si wangehisi wako juu ya dunia!! Kagera sugar ndio wakwanza kununua basi ambalo baadae MO amenunua basi Kama hilo na kuwapa Simba yaani Kagera Sugar wanaona gari la kawaida na atujasikia promo, Mbumbumbu fc wame nunua TATA la India kelele mitandaoni hazi ishi, ivi ingekua gari linatokea kampuni Kama Marcopol au Benz n.k ingekuaje!!! Aliyewaita Mbumbumbu hakukosea.
Hili nalo ni tatizo! Utopolo wanaacha kuzungumzia basi lao, wanazungumzia ufahari wa basi la Azam na Kagera Sugar!Ivi MO ange nunua basi kama la Azam mbumbumbu fc si wangehisi wako juu ya dunia!! Kagera sugar ndio wakwanza kununua basi ambalo baadae MO amenunua basi Kama hilo na kuwapa