Basi nikilileta hapo bongo Nauli kutoka Dar kwenda Mwanza unafikiri itakuwa kiasi gani?

Tatizo ni pale abiria anaingia na viatu vilivyojaa matope na begi lake limejaa sangara wakavu, viazi, matunda, nk. eti ni zawadi
Abiria wa kupanda basi hilo hatakiwi kuingia na kitu chochote kila zaidi ya bei lake tu. Abiria wanaotakiwa humo kwenye hilo Basi ni abiria 20 tu na kila mmoja anatakiwa alipe Nauli ya Shilingi laki 5 kutoka Dar kwenda Mwanza na Mwanza kurudi Dar Safari ya kwenda na kurudi. Abiria watapewa chakula bure wakiwa safarini.
 
Hivi laki tano kwa bombardia za magufuli hufiki kweli kwa hiyo ruti au ni utalii wa barabarani tu?
 
Hivi Dar Es salaam-Mwanza kwa bombardier ni bei gani? Samahani lkn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…