Ukoo bado unakuhitaji.. Mwendokasi sio mzuri..Mwendo wa Kobe panda Kilimanjaro Bus… tena kama huna pa kufikia ukishuka tu Kilimanjaro wana hotel yao hapo hapo….. reasonable price
Ila mimi ni team mwendo mpera mpera kwa kina Kidia one huko na Tilisho Safari..
Weee huwajui Kilimanjaro ee? Tena ukipanda Luxury ndio kobe mzee kabisaa…Ukoo bado unakuhitaji.. Mwendokasi sio mzuri..
Hivi kum-unblock WhatsApp mtu unafanyeje?
Asante sana. Majibu yamejitosheleza kabisa maana pa kufikia nilikuwa nasubiri nifike ndo nijue namna. Mwendo mpera mpera siuwezi. Naogopa kufa utadhani sitakuja kufa🤣🤣🤣🤣Mwendo wa Kobe panda Kilimanjaro Bus… tena kama huna pa kufikia ukishuka tu Kilimanjaro wana hotel yao hapo hapo….. reasonable price
Ila mimi ni team mwendo mpera mpera kwa kina Kidia one huko na Tilisho Safari..
Duh. Kitu kipyaaaa.💪💪View attachment 2408110
Mwamba huyu hapa..Kilimanjaro express!
Hapo KLM rooms efu 40 nzurii, ghorofani unakula kipupwe..Asante sana. Majibu yamejitosheleza kabisa maana pa kufikia nilikuwa nasubiri nifike ndo nijue namna
Kabisaaa. Ukoo unanihitaji sana tu na kufa sahv sijapanga kabisa🤣Ukoo bado unakuhitaji.. Mwendokasi sio mzuri..
Hivi kum-unblock WhatsApp mtu unafanyeje?
Ukoo bado unakuhitaji.. Mwendokasi sio mzuri..
Hivi kum-unblock WhatsApp mtu unafanyejekwel
40k Affordable kabisa na ghorofani siku zote raha. Asante sanaHapo KLM rooms efu 40 nzurii, ghorofani unakula kipupwe..
Safari ni adventure murua, tena njia ya Kaskazini ni tamuuuu….. karibu & safari njema.
Sasa huo mwendo wa kobe mzee si balaa. Nilitaka mwendo wa kobe. Ila sio mzee.Weee huwajui Kilimanjaro ee? Tena ukipanda Luxury ndio kobe mzee kabisaa…
Kitu Kidia one au Dar express, saa 11 kasoro mshafika Chuga zamani..
Kwanini ulimbock huyo mtu? 😂
Yan Kidia one ni fayaaa mkuu, kwanza bus zao nzuri,, huduma nzuri,, mwendo ni mperaaa fasta mshafika 🤣👌Sasa huo mwendo wa kobe mzee si balaa. Nilitaka mwendo wa kobe. Ila sio mzee.
Nimepitia page ya KIDIA 1 insta naona kama nashawishika kusahau mambo ya usalama barabarani. Na comment ya watu pale nimeona kama customer service yao ni nzuri pia😀🤔
Yaani weee mdada weye!! ....ebu subiri hapo! hapo! mbele nakuja........Weee huwajui Kilimanjaro ee? Tena ukipanda Luxury ndio kobe mzee kabisaa…
Kitu Kidia one au Dar express, saa 11 kasoro mshafika Chuga zamani..
Kwanini ulimbock huyo mtu? 😂
Happy Sunday[emoji870][emoji3059]
Wadau naombeni ushauri basi nzuri za Dar -Moshi. Nategemea kusafiri next week na sijawahi kufika Moshi. Naombeni ushauri wa basi ambazo ni nzuri,luxury,good customer care na mwendo rafiki kwa maisha ya abiria ili safari yangu ya kwanza kuelekea kaskazini isiwe ya majuto.
T. I. A[emoji120]