Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Siongei kwa nia mbaya, ni kuamini serikalii iliopo iko kulinda jamii ya Watanzania.
Ndugu zangu, naomba niwambiee kama kuna kitu kinaudhi, ni kujua chombo chombo kinachohusika na usalama kikikubali abiria waendeshwe gari lisilo na bima na dreva asiye na leseni
Tunaomba kwa heshima na upendoo kikosi cha Makao Makuu traffick pamoja na Takukuru waje kukagua haya mabasi na taksi zisizo na bima wala dereva mwenye leseni.
Mbaya zaidi, malalamiko haya tumepeleka wengi pale Mbezi, kituo husika pale Kimara Mwisho mwaka wa nne sasa, bado ni aibuu inaendelea.
Watu wanakufa na ajali hakuna anayewajibka. Sasa tuombe msaada makao makuu mkague yale magari,
Mkimaliza tuelekee njia ya Matosa na liwe zoezi endelevu.
Kumekuwa na tabia baadhi ya wasiokuwa waaminifu kuwajulisha wahusika siku mnapofanya checks na wao kuacha kupeleka magari yao vituoni.
Tunaombà msaada wenu
Waziri husika, tunajadiliana roho za watu tunazitunzaje. Hawa ndiyo wapiga kura 2020.