Bismack
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 387
- 495
Habari zenu wanajamvi, natumaini mnaendelea na majukum ya hapa na pale ili kuijenga Tanzania yetu ya viwanda.
Hapa kuna jambo linanisikitisha sana kuhusu hizi basi za mwendo kasi mimi mkazi wa kinondon. Hivi wahusika hawaoni hii adha tunayoipata watu tunaokaa kinondon? Mtu unakaa dakika 45 kituoni hujaona gari na una haraka zako mbaya zaidi huwezi kususa mana hera hawawez kukuludishia ili angalau uchukue hata daladala. Ebu wahusika liangalieni hili ni tatizo mnachezea mda wetu na hera msha chukua, jamani mda ni mali. Hakuna Nchi iliyoendelea kwa kuzalau mda hivi, Mfano , mimi ni mfanyabiashara namuahid mteja wangu kwamba ndani saa moja nitakua nishaludi but unafika kituoni unakaa dakika 45, Mpka unaludi ushatumia kalibu masaa mawili hivi huyo mteja atakusubili ? , tayari hapo ninakua nishapata hasara
Halafu badae unaoni TRA mlangoni wanataka chao , hivi serikal inatusaidia kwa style gani hapa.