dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Supershem watu wanailalamikia.Mwanza express..isamilo..supershem
ahsante mkuuHongera kwa kuamua kufanya utalii wa ndani.
mkuu sina hera ya bombadierBombardier
nauri zake vp mkuu?daudi bashite trans
thanks, na nauri zikoje mkuu?Mwanza express..isamilo..supershem
[emoji23] [emoji23] [emoji23]daudi bashite trans
nauri zake vp mkuu?
Kusafiri kwa ndege haihitaji hela mkuu... Ni mipango tu. Kara ticket yako mwezi mmoja kabla na utatumia nauli sawa na anaesafiri kwa basi.mkuu sina hera ya bombadier
Ahsante mkuu. Nashukuru sanaSafari Njema mkuu! Mungu awatangulie
Usije kupanda hiii kituuu Mimi sina hamu nalooo jmnSupershem watu wanailalamikia.
Mkuu mwez mmoja kabla emmergency zaweza kutokea. Kuna mwaka flan lak yangu iliwahi kuenda hivi hiviKusafiri kwa ndege haihitaji hela mkuu... Ni mipango tu. Kara ticket yako mwezi mmoja kabla na utatumia nauli sawa na anaesafiri kwa basi.
Ukiogopa emergencies huwezi fanya kitu mkuu! Maisha ni kuchukua risks. Watu tunajinyima starehe na kujibana kutunza hela ili tununue magari, emergency inaweza tokea, ajali za bodaboda kila siku... Nikivunjika miguu je? Unaweka pembeni emergencies na kuomba Mungu zisitokee huku unaendelea na mipango yakoMkuu mwez mmoja kabla emmergency zaweza kutokea. Kuna mwaka flan lak yangu iliwahi kuenda hivi hivi
Yeah sure mkuu. Sometimes u need to be a risk taker. ThanksUkiogopa emergencies huwezi fanya kitu mkuu! Maisha ni kuchukua risks. Watu tunajinyima starehe na kujibana kutunza hela ili tununue magari, emergency inaweza tokea, ajali za bodaboda kila siku... Nikivunjika miguu je? Unaweka pembeni emergencies na kuomba Mungu zisitokee huku unaendelea na mipango yako
Ni shida hili gari,ukujumlisha njia ya vumbi........Usije kupanda hiii kituuu Mimi sina hamu nalooo jmn