Wanajamii naomba muongozo wenu naipenda sana hii fani na nimeanza kujitengenezea short video editing kwa kutumia program kama pinnacle 9 na nyingine kwa kujisomea tu.
Sasa natafuta chuo,je ni kipi hapa tz kinachotoa hii fani kwa ubora zaidi? Tafadhali nisaidieni nikapate elimu.