Basil Lema - Moto unaoiunguza CCM Moshi

Basil Lema - Moto unaoiunguza CCM Moshi

Joined
Dec 5, 2009
Posts
65
Reaction score
23
Ninamjua Mwalimu Basil Lema ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Mhe. Philemon Ndesamburo.

Huyu bwana anaisumbua CCM kwa mipango ya aina mbali mbali majimbo yote ya mkoa wa Kilimanjaro. He is smart in planning things. Lakini anashukiwa kuwa na mkono serikalini. Anybody with information about this person?
 
sasa simamam basi walau dakika mbili tukusaidie, sasa utasikiaje na mbio zote hizo?.................. aah, watu wengine bana!!!!!!!!!!!!!...............
 
sasa we mtu si usimame basi utuambie vizuri? wasema huku unatoka mbio au ya uongo haya?
 
Back
Top Bottom