B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Nov 27, 2008 #41 Ukifanya dhambi hapa duniani , adhabu unapata hapa hapa haingoji ahela!!
Bongolander JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 5,067 Reaction score 2,210 Nov 27, 2008 #42 bulesi said: Ukifanya dhambi hapa duniani , adhabu unapata hapa hapa haingoji ahela!! Click to expand... Ahera inakuwa ni nyongeza tu. Lakini hata hivyo inategemea sisi tulio hapa dunia tunafanya nini. Kuna madikteta kama Obote, Amin ambao wamekufa bila hata kushikishwa adabu.
bulesi said: Ukifanya dhambi hapa duniani , adhabu unapata hapa hapa haingoji ahela!! Click to expand... Ahera inakuwa ni nyongeza tu. Lakini hata hivyo inategemea sisi tulio hapa dunia tunafanya nini. Kuna madikteta kama Obote, Amin ambao wamekufa bila hata kushikishwa adabu.