Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Ukiwa Kiongozi wa Taasisi yeyote kubwa,lazima uwe na HIGH EMOTIONAL INTELLIGENCE, ukiwa Kiongozi na unaongozwa na hisia unajichimbia shimo mwenyewe...
Zaidi ya Mara moja tumeona Mkuu Kadhiirisha kua Ana hisia dhaifu so hapaswi kubeba hisia za watu zaidi ya million 60,.
Art Of Public Speaking
Mkuu aliwahi kujiita Chura,
Mkuu alilia mbele ya camera,
Kuna interview ya Sallim Kikeke wakati yupo BBC SWAHILI alikua anamuhoji mkuu kwa style ya PSYCHOLOGICAL MANIPULATION,Mkuu akajaa akaanza kuchamba,kasahau kua dunia nzima inamtazama,..
Kwa Aina ya mkuu tulienae silaha za wapinzani ziwe za kisaikolojia ili kumchanganya aseme asiyotaka kusema,silaha zipo tatu..
Provocation
Goading
Playing on her insecurities..
Kwenye kampeni za uchaguzi wa rais marekani mwaka 2016, Hilary Clinton alitoa boko kwenye kuongea,alisema,
"You know, to just be grossly generalistic, you could put Trump's supporters into what I call the basket of deplorables. They're racist, sexist, homophobic, xenophobic, Islamophobic"
Trump na supporters wake wakatumia kauli hiyo kum'mock Clinton,
Hillary Clinton Katika kitabu chake Cha mwaka 2017 WHAT HAPPENED akielezea matukio ya uchaguzi anasema kauli yake BASKET OF DEPLORABLES ni factor ambayo imefanya akapoteza uchaguzi ule..
Endeleeni kumchekecha atajikwaa pabaya..