kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Hello bosses amd roses..
Hii kitu naiona sana hata kwenye media. Ukiachilia mbali hali ya urafiki/kuelewana iliokuwepo kati ya Lebron James na Marehemu Kobe Bryant (RIP) bado fans wengi wa Kobe wanapata ugumu sana kumkubali Lebron James, fans wengi wa Kobe wanaomkubali pia Lebron utakuta ni die hard fans wa Lakers tu, hio inamaanisha kama Lebron asingekuwa anaichezea lakers basi ingekuwa ngumu zaidi kwa fans wa Kobe kumkubali huyu lagend.