Gambino X Member Joined Aug 20, 2014 Posts 75 Reaction score 104 Jun 19, 2017 #1 Hivi hii timu ipo? Inapatikana wapi, mazoezi wanafanyia wapi? Sijakutana na binti anadunda siku nyingi sana[emoji17]. Niende wapi Dar kucheki zoezi??? Ningependa kusikia changamoto zao
Hivi hii timu ipo? Inapatikana wapi, mazoezi wanafanyia wapi? Sijakutana na binti anadunda siku nyingi sana[emoji17]. Niende wapi Dar kucheki zoezi??? Ningependa kusikia changamoto zao