Basketball Special Thread

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Habari za wakati huu wakuu..Hopeful mko poa,,Mimi in shabiki mkubwa sana na mchezaji pia wa mpira wa Kikapu..Karibuni kwenye Uzi huu mahususi kabisa kwa Mpira wa kikapu kwaajili ya kupeana Updates,Uchambuzi,Tutajifunza sheria za mchezo huu pia na vitu kaa hizo kuhusu Basketball..Huu ni mchezo wa Mabishoo pia,Kama hueleweki hufai huku(Natania bhana[emoji16][emoji16])..Ukizingatia Taifa Cup inaanza mwezi huu wa 11(November) pale chuo kikuu cha Dodoma "UDOM"..
Karibuni sana[emoji120][emoji120]


@NgarenaroBoyView attachment 1994021View attachment 1994020View attachment 1994024View attachment 1994022View attachment 1994023
 
Sawa mkuu.

Ngoja tufuatilie uzi.

Ila ktk michezo haijawahi nivutia basi huu ni kwanza.
 
Ni Mchezaji gani unaemkubali sana kwasasa kwenye NBA league? Na kwanini?..Personal namkubali sana Kyrie Irving sababu ana skills sana kama ilivokua kwa Alen Iverson hasa kwenye ku'dribble,Ku'turn,Ku'step back na ku'shoot,Ana crossover za akili sana ambazo humsaidia kuuficha Mpira na kuwa ngumu mpinzani ku'steal ball,Lakini pia sio virahisi kukosa akienda Rey-Up[emoji459][emoji459]
 
Sawa mkuu.

Ngoja tufuatilie uzi.

Ila ktk michezo haijawahi nivutia basi huu ni kwanza.
Hahah,,karibu sana mkuu..Basketball ni mchezo pendwa sana duniani,Pia unavutia kuucheki,,Lakini bila shaka unawafahamu Michael Jordan na Kobe Bryant?[emoji16]
 
Damian Lillard, ila msimu huu naona kaanza kinyonge sana.
 
Damian Lillard, ila msimu huu naona kaanza kinyonge sana.
Dame huyu jamaa ni hatari,anafungaga hadi vikapu30 pekeake kwa mechi..Sema Leo timu yake ya Portland Trial Blazers inacheza na Philadelphia.. Ngoja tutaona
 
Hahaaaa, ila we jamaa. Alafu umesema ni fan mkubwa wa basketball, unafurahisha sana.
Dame huyu jamaa ni hatari,anafungaga hadi vikapu30 pekeake kwa mechi..Sema Leo timu yake ya Portland Trial Blazers inacheza na Philadelphia.. Ngoja tutaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…