mi nashindwa kuelewa maana hapa nchini imekuwa kama vile nchi ni ya wacheza mipira ya miguu tu,watu wanaocheza basketball,volleyball hata hawathaminiwi kama wacheza mipiira ya miguu,maana hata hapa majuzi tumeshuhudia michezo ya wakimbia riadha hapa nchini lakini hakuna suport yoyote wanayopata kutoka serikalini wala watu binafsi,kwani tatizo ni nini,na nani wa kulaumiwa