Bastola za akdal(akdal pistol)

chinyama

New Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
1
Reaction score
1
Hizi ni bastola mbovu sana katika historia, zinazouzwa na Tanganyika Arms Ltd ya moshi. Kama unayo bastola ya aina hii ni bora uwarudishie mapema wakupe nyingine maana wakati utakapovamiwa na majambazi na kuhitaji kupiga hili bastola halipigi. Ni bastola feki.
 
Naomba utupe habari kamili kuhusu ubovu wake. Kwa mfano ukuipiga, risasi in jam? misfire etc etc
 
Hii ndiyo matokeo ya liberalisation ya soko la silaha na matokeo yake mchina ni kila kitu utakacho!! Na crimes kila mtu ana silaha kwa kutumia njia fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…