DK The Farmer Senior Member Joined May 27, 2013 Posts 103 Reaction score 16 Jun 10, 2015 #1 Nauza bata mzinga, more info nicheki whtsap kwa 0659606000
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 Jun 10, 2015 #2 hivi wanaenda shin ngapi hao?kama ni kifaranga au mkubwa?
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,500 Jun 10, 2015 #3 picha bei uko wapi wanauzito gani vile vile kuna wateja wengine hawajui kutumia whatsup tena ndio wateja haswaa... hv hii biashara unaifanya kwa faida au unatusaidia sisi wateja wako tu
picha bei uko wapi wanauzito gani vile vile kuna wateja wengine hawajui kutumia whatsup tena ndio wateja haswaa... hv hii biashara unaifanya kwa faida au unatusaidia sisi wateja wako tu
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,041 Reaction score 257 Jun 10, 2015 #4 sasa si ungeanzisha kundi la watsapp kisha ukatoa tangazo lako huko umetangaza biashara hakikisha unawapa watu taarifa zote vinginevyo tupa kuleee
sasa si ungeanzisha kundi la watsapp kisha ukatoa tangazo lako huko umetangaza biashara hakikisha unawapa watu taarifa zote vinginevyo tupa kuleee
Bethania JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 339 Reaction score 130 Jun 10, 2015 #5 Acha kuweka tangazo nusu nusu weka bei na uko wapi kama umeamua kutangaza hapa wengi hatuna muda wa kupm tunashawishika na kuona
Acha kuweka tangazo nusu nusu weka bei na uko wapi kama umeamua kutangaza hapa wengi hatuna muda wa kupm tunashawishika na kuona