Wadau naombeni ushauri wenu, ninampango wa kufuga Bata au Kuku wa nyma kwa ajili ya biashara, naomba ushauri wenu kipi kinalipa. Nategemea ushauri mzuri.
Sijawahi kufuga bata. Ila nina uhakika kwa kuku wa nyama ndani ya wiki 6 mpaka nane unauza. Hii inategemea na hali ya hewa ya mahali husika. Kwenye joto kama dar unaweza kuuza wakiwa na wiki 5.