LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 252
Kutokana na kuongezeka kwa gharama za petroli kila wiki nimeamua kutumia usafiri wa pikipiki ndogo aina ya BATA VUS, Hivi bado zinapatikana?Kama zinapatikana basi naomba waungwana mnijuze ni wapi.