LE GAGNANT JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 1,241 Reaction score 252 May 31, 2011 #1 Kutokana na kuongezeka kwa gharama za petroli kila wiki nimeamua kutumia usafiri wa pikipiki ndogo aina ya BATA VUS, Hivi bado zinapatikana?Kama zinapatikana basi naomba waungwana mnijuze ni wapi.
Kutokana na kuongezeka kwa gharama za petroli kila wiki nimeamua kutumia usafiri wa pikipiki ndogo aina ya BATA VUS, Hivi bado zinapatikana?Kama zinapatikana basi naomba waungwana mnijuze ni wapi.
Tanganyika1 JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 423 Reaction score 90 Jun 1, 2011 #2 zanzibar zinapatikana.