bahati30 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,625 Reaction score 883 Nov 20, 2013 #1 Ninauza bata wa kawaida wa rangi nyeupe na rangi mchanganyiko (nyeupe na nyeusi......) kwa bei ya Sh 15,000-25,000. Anayehitaji anitafute kwa namba hii hapa : 0718424824. Karibuni sana Attachments Photo0123.jpg 431.5 KB · Views: 80
Ninauza bata wa kawaida wa rangi nyeupe na rangi mchanganyiko (nyeupe na nyeusi......) kwa bei ya Sh 15,000-25,000. Anayehitaji anitafute kwa namba hii hapa : 0718424824. Karibuni sana
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Nov 20, 2013 #2 Umenikumbusha ule wimbo wanasema nyama ya mbele ni tamu ya nyuma ina mafuta...