Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya huyo bata iko wapi??Hizo vitamini zinaitwaje?Au ndiyo jina lake hilo hilo?Kama Una hata picha ya pakiti yake ninaomba
Hata ka picha hujatuwekea?
Anyway, huo ni ugonjwa wa upungufu wa vitamin A. Wanunulie vitamins za madukani uwape. ( Vitamins ni supplement wanayotakiwa kupata mara kwa mara ili kuzuia wasipate tena tatizo )
Mkuu kutokana na picha uliyoweka mbona kama bata wako amepata ugonjwa wa mlipuko wa (NDUI) au hayo mapele huwa anayo tu siku zote?Wana JF,
Macho ya bata wangu yanatoa mapovu halafu yanakuwa Kama yanataka kuziba kabisa, huo ni ugonjwa gani? Unatibiwaje?
Asante Sana kwa ushauri nitaufanyia kazi!Jana nilienda kwa mtaalamu mmoja akanishauri niwape OTC 20%.Ngoja niongeze na ulizonishauri!Pia anaharisha kinyesi cheupeMkuu kutokana na picha uliyoweka mbona kama bata wako amepata ugonjwa wa mlipuko wa (NDUI) au hayo mapele huwa anayo tu siku zote?
Lakini pia hayo macho kuwa na mapovu/Maji maji ni dalili ya mafua au ni hatua za awali za upungufu wa vitamin A
Kwahiyo wanunulie Antibiotic ya mafua lakini pia ununue na multivitamin uwe unachanganya Kwa pamoja unawapatia
na dawa ya mafua ukipata yenye amoxicillin ni vizuri zaidi kwenye kukausha hayo madonda ili yasiendelee au yakauke ila ukikosa tumia tylodox
Pole sana mkuu, bahati mbaya ni kwamba ndege akipata maradhi ya Ndui kinga za mwili zinashuka sana na hiyo kupelekea kupata maradhi nyemelezi kama huko kuharishaAsante Sana kwa ushauri nitaufanyia kazi!Jana nilienda kwa mtaalamu mmoja akanishauri niwape OTC 20%.Ngoja niongeze na ulizonishauri!Pia anaharisha kinyesi cheupe
Nashukuru kwa ushauri!Pole sana mkuu, bahati mbaya ni kwamba ndege akipata maradhi ya Ndui kinga za mwili zinashuka sana na hiyo kupelekea kupata maradhi nyemelezi kama huko kuharisha
Hiyo OTC 20% Kwa hilo tatizo la kuharisha kuna asilimia ndogo sana za kukusaidia, inawezekana Jana wakati umeenda kununua dawa mtaalamu alikupatia OTC 20% kulingana na dalili au maelezo uliyompa Jana
Kwahiyo nadhani ni vizuri ukamrudia tena na kumwambia ulichokiona leo kuhusu Choo chake, ili yeye either akubadirishie dawa au akushauri kipi cha kufanya
ASANTEE SANA!NILITAFUTA DAWA ULIZOSHAURI NA KIUKWELI ZIMENISAIDIA SANA!Mkuu kutokana na picha uliyoweka mbona kama bata wako amepata ugonjwa wa mlipuko wa (NDUI) au hayo mapele huwa anayo tu siku zote?
Lakini pia hayo macho kuwa na mapovu/Maji maji ni dalili ya mafua au ni hatua za awali za upungufu wa vitamin A
Kwahiyo wanunulie Antibiotic ya mafua lakini pia ununue na multivitamin uwe unachanganya Kwa pamoja unawapatia
na dawa ya mafua ukipata yenye amoxicillin ni vizuri zaidi kwenye kukausha hayo madonda ili yasiendelee au yakauke ila ukikosa tumia tylodox
Pamoja Mkuu.ASANTEE SANA!NILITAFUTA DAWA ULIZOSHAURI NA KIUKWELI ZIMENISAIDIA SANA!
Wana JF,
Macho ya bata wangu yanatoa mapovu halafu yanakuwa Kama yanataka kuziba kabisa, huo ni ugonjwa gani? Unatibiwaje?
Wana JF,
Macho ya bata wangu yanatoa mapovu halafu yanakuwa Kama yanataka kuziba kabisa, huo ni ugonjwa gani? Unatibiwaje?
Mkuu, ukiona mtu anakuja kuomba ushauri humu na hasa wa matibabu ujue huyo mtu ni Kweli anashida na anahitaji utatuzi wa haraka(Gumboro)nenda dukani nunua e.s.b 3 (i esi bii three) na pumba yao nunua DPC changanya huko kijiko kimoja pumba ndoo moja.wape kabla hawajaisha.alafu nunua na dawa ya minyoo wawekee kwenye maji
Shukrani kwa ushauri mzito!Mkuu, ukiona mtu anakuja kuomba ushauri humu na hasa wa matibabu ujue huyo mtu ni Kweli anashida na anahitaji utatuzi wa haraka
Kwahiyo ni vizuri kama mtu utaamua kumsaidia Kwa ushauri basi inabidi uwe unaelewa kile unachoenda kumshauri ili akatatue tatizo lake
Na endapo kama hufahamu ni bora ukampa ata pole tu ili imfariji wakati anaendelea kusubiri wanaoujua tatizo lake au wenye Idea kuhusu kutatua tatizo lake
Kutokana na maelekezo ya mtoa mada na majibu uliyompa ni wazi kuwa huna unachokijua kuhusu tatizo la mleta mada wala huna unachokijua kuhusu ugonjwa ulioutaja wewe wa Gumboro
Kwa maana hiyo endapo angefata ushauri wako kuna uwezekano angepata matibabu ambayo sio sahihi Kwa sababu Jina la ugonjwa teyari ni tofauti hivo ata dawa lazima ziwe tofauti
Kibinadamu ni Jambo zuri sana kusaidiana hasa kimawazo maana hakuna anaejua kila kitu ila ni vizuri kabla hujasaidia basi vizuri ukawa na uhakika na unachoenda kushauri ili usije kuongeza tatizo badala ya kulitatua
uko sahihi kabisaHata ka picha hujatuwekea?
Anyway, huo ni ugonjwa wa upungufu wa vitamin A. Wanunulie vitamins za madukani uwape. ( Vitamins ni supplement wanayotakiwa kupata mara kwa mara ili kuzuia wasipate tena tatizo )
Wote wakubwa waliokuwa wanaumwa nilitumia dawa mlizonishauri wamepona!Asanteni Sana!Vp Maendeleo Ya Bata Baada Ya Kushauriwa