Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Mar 9, 2023 #21 UMUNYU said: Wote wakubwa waliokuwa wanaumwa nilitumia dawa mlizonishauri wamepona!Asanteni Sana! Click to expand... Mambo Mazuri Kwahiyo Boma Lako Limejaa Tele
UMUNYU said: Wote wakubwa waliokuwa wanaumwa nilitumia dawa mlizonishauri wamepona!Asanteni Sana! Click to expand... Mambo Mazuri Kwahiyo Boma Lako Limejaa Tele
U UMUNYU JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 726 Reaction score 564 Mar 9, 2023 Thread starter #22 Kennedy said: Mambo Mazuri Kwahiyo Boma Lako Limejaa Tele Click to expand... Hapana,kuna kosa nililifanya vifaranga wa bata wakafa wote,awamu hii nimejifunza siwezi kukosea tena
Kennedy said: Mambo Mazuri Kwahiyo Boma Lako Limejaa Tele Click to expand... Hapana,kuna kosa nililifanya vifaranga wa bata wakafa wote,awamu hii nimejifunza siwezi kukosea tena
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Mar 9, 2023 #23 UMUNYU said: Hapana,kuna kosa nililifanya vifaranga wa bata wakafa wote,awamu hii nimejifunza siwezi kukosea tena Click to expand... Mimi Nategemea Mwezi Aprili Mayai Ya Goose Na Pekin Yataanguliwa Nitapata Vifaranga Vingi Nipe Mawili, Matatu Ya Kuvilea Visife
UMUNYU said: Hapana,kuna kosa nililifanya vifaranga wa bata wakafa wote,awamu hii nimejifunza siwezi kukosea tena Click to expand... Mimi Nategemea Mwezi Aprili Mayai Ya Goose Na Pekin Yataanguliwa Nitapata Vifaranga Vingi Nipe Mawili, Matatu Ya Kuvilea Visife