mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Shkamooni; Jamani Ninauza Bata 30, Wakubwa Kwa Wadogo! Nikwaajili Yako, Kwa Bei Utakayo Imudu. Usipitwe Na Bahati Hii, Nitafute Mtwa Mkulu Kwa 0652967265. Kumbuka Unaweza Kuwa Tumia Bata Kwa Kuyala Mayai Yake, Ni Kitoweo Kizuri, Na Ni Mapambo Ya Nyumba. Wanauwezo Wa Kutaga Hadi Mayai 20. Jike Huweza Kuwa Na Kilo Hadi Nne Wakati Dume Akifikisha Kilo 4.5. Ahsanten