Bata

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Shkamooni; Jamani Ninauza Bata 30, Wakubwa Kwa Wadogo! Nikwaajili Yako, Kwa Bei Utakayo Imudu. Usipitwe Na Bahati Hii, Nitafute Mtwa Mkulu Kwa 0652967265. Kumbuka Unaweza Kuwa Tumia Bata Kwa Kuyala Mayai Yake, Ni Kitoweo Kizuri, Na Ni Mapambo Ya Nyumba. Wanauwezo Wa Kutaga Hadi Mayai 20. Jike Huweza Kuwa Na Kilo Hadi Nne Wakati Dume Akifikisha Kilo 4.5. Ahsanten
 
bata mzinga,bukini au wa kawaida?bei?
 
Bata Wa Kawaida, Nipo Dar na kuhusu bei tutaelewana uki ni call
 
Bila shaka utakuwa unaishi kota za polisi au magereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…