Batavuzi? Nini asili ya jina hili?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Huwa najiuliza haya majina mengine yalitokea wapi? Mfano Bodaboda nadhani lilitokea nchi kama Uganda kuwakilisha vyombo vya usafiri wa Pikipiki.

Sasa enzi zetu kulikuwa na Pikipiki-baiskeli maarufu kwa jina la Batavuzi.

Je nini asili ya jina hili?
 
Ha ha ha kuna mshikaji wangu mmoja hili jina litamfaa sana
 
Aisee mimi mwenyewe sikuwa nikifahamu.
Asante mleta Uzi
 

Hehehe..
Wakati fulani nikiwa mdogo nilikuwa naishi ktk kambi ya jeshi mirambo,tabora,wanajeshi walikopeshwa vipikipiki fulani unakalia kama kigoda..tulikuwa tunaviita batavuzi..
Umenikumbusha mabali sana mkuu..
Hahaha..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…