Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba dumu au IT5? IT5 ni migongo mipanaMabingwa wa ukadiriaji hebu chakateni mlinganyo hapo nataka nimjengee mchepuko kajumba kadogo Sasa hizo bati zinatosha vyumba vingapi?
Viwili paa moja(polisi post)Mabingwa wa ukadiriaji hebu chakateni mlinganyo hapo nataka nimjengee mchepuko kajumba kadogo Sasa hizo bati zinatosha vyumba vingapi?
Vyumba viwili tu vya wastani wa 10x10ft.Mabingwa wa ukadiriaji hebu chakateni mlinganyo hapo nataka nimjengee mchepuko kajumba kadogo Sasa hizo bati zinatosha vyumba vingapi?
nadhani umemaliza kila kitu. kwakuongezea ata chumba cha chini 10×Vyumba viwili tu vya wastani wa 10x10ft.
Be serious vyumba vinne?Unataka kuezeka paa la aina gani? Hiyo itaamua eneo litakalofunikwa na hizo bati.
Pia inategemea unataka ukubwa wa chumba uweje? Zinaweza kutosha chumba kimoja, viwili, vitatu au vinne kutegemea na wewe unataka ukubwa wa vyumba uweje?
Ujaelewa kilicho andikwaBe serious vyumba vinne?