Kupata hiyo 26 ni changamoto, unaweza kuuziwa ya 28 kwa bei ya 26Wanabodi kama madam inavosema,nimepitia maoni Mengi kuhusu uezekaji na gauge pendekezwa ni 28,lkn binafsi nataka kutumia gauge 26,naombeni ushauri wenu wa kitaalamu nipate elimu na kufanya maamuzi
Nataka kuchukua kiwandani kabisa,au hawazalishiKupata hiyo 26 ni changamoto, unaweza kuuziwa ya 28 kwa bei ya 26
Huko ndiko utapigwa kiofisi kabisa.Nataka kuchukua kiwandani kabisa,au hawazalishi
Asante26 ndo yenyewe tatizo upatikanaji/bei
Nataka kuchukua kiwandani kabisa,au hawazalishi
Watakupatia 28, wakimaanisha ni 26; vinginevyo uwe na kipimioBei nazijua na sina pingamizi nazo lkn nataka kujua 26&28 tu
Asante mkuu,ngoja nianze na upatikanaji wa 26 hasa viwandani nisikie watanijibu nnRola (wip ya bati) nyingi za mabati zilizopo viwandani ni gauge 28+; sijajua kwa nini hawanunui rola ya gauge 26, inawezekana ikawa ni gharama kubwa ukiringanisha na soko la ndani lilivyo.
Kwenye measurements ni expert Hilo Sina hofuWatakupatia 28, wakimaanisha ni 26; vinginevyo uwe na kipimio
Toka mwanzo kabla hujajenga ulipanga kutumia gauge 26?Bei nazijua na sina pingamizi nazo lkn nataka kujua 26&28 tu
Kaka 28 ni standard kabisaNataka kuchukua kiwandani kabisa,au hawazalishi
Asante kwa ushauri mzuri san hasa upatikanaji,pia uimara wa jengo,msingi nimefunga kwa Renta mbili chini na juu nondo za kusuka kote,Renta nondo za kusuka mm 16,hapo Sina hofu ratio ya cement ni nzuri sana,hofu ni upatikanaji japo mmenishauri zinatumika, ufuatiliaji tu,pia kama bundle Lina kg 90 basi na mbao ziwe imara zaidi,Tungejua mazingira ya unapokaa basi ningekushauri vizuri.
Kama ni eneo la pwani au lenye unyevu unyevu mwingi na upepo mkali basi gauge 26 inafaa vema tu. Ila kuta zako ziwe imara kweli. Zege lililotumika liwe zito na mbao za kupaua ziwe imara sana.
Hivyo, kama una uhakika ulijenga Kwa uimara basi ezeka kwa mbao imara kisha weka bati lako.
Lakini kama ni zile za fundi kubania cement ili kula cha juu basi achana na huo mpango. Geji 26 ni nzito.
Lakini tambua pia viwanda vingi havina gauge 26. Kwa sababu ni ghali sana. Wateja ni wachache, mali yaweza kubaki muda mrefu bila kuuzika. Lakini pia viwanda vingi havina mashine ngumu za kukata gauge 26.
Janjaruka wasikupige.
Kila la kheri. Gauge 26 ni the best.
Toka mwanzo kabla hujajenga ulipanga kutumia gauge 26?
Ndiyo maana nilimuuliza swali hilo hapo juu, maana msingi wa nyumba ndiyo na uimara wa kuta ndiyo unaamua ni uzito gani utauweka juu.Tungejua mazingira ya unapokaa basi ningekushauri vizuri.
Kama ni eneo la pwani au lenye unyevu unyevu mwingi na upepo mkali basi gauge 26 inafaa vema tu. Ila kuta zako ziwe imara kweli. Zege lililotumika liwe zito na mbao za kupaua ziwe imara sana.
Hivyo, kama una uhakika ulijenga Kwa uimara basi ezeka kwa mbao imara kisha weka bati lako.
Lakini kama ni zile za fundi kubania cement ili kula cha juu basi achana na huo mpango. Geji 26 ni nzito.
Lakini tambua pia viwanda vingi havina gauge 26. Kwa sababu ni ghali sana. Wateja ni wachache, mali yaweza kubaki muda mrefu bila kuuzika. Lakini pia viwanda vingi havina mashine ngumu za kukata gauge 26.
Janjaruka wasikupige.
Kila la kheri. Gauge 26 ni the best.
Mkuu nimejibu hapa juu,naomba ushauri wako zaidii,msingi una tofali 5 plus Renta 2 jumla 7,kwenye hili nimejifunza pia,Ndiyo maana nilimuuliza swali hilo hapo juu, maana msingi wa nyumba ndiyo na uimara wa kuta ndiyo unaamua ni uzito gani utauweka juu.