Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
Habari wajumbe.
Kuna huu urembo was kisasa ambapo wanachora nguzo na madirisha kwa kutumia cement Kisha ili ikauke haraka wanamwagia VUMBI la cement.
Hili VUMBI kama Kuna upepo hupaa na kuganda kwenye bati na kuifanya bati kupauka.
Je, bati ikishaathirika n hili VUMBI, njia gani inaweza kutumika kusafisha maana hata mvua haitoi