Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
Nilisha wahi fanya kazi ya kuripaer vigae vya nyumba vilichoka na baadhi vilikuwa vinapitisha maji. Ipo rangi maalum na vitambaa maalum pamoja na gundi hivi vifaa vinapatikana nabaki africa nenda kwenye maduka yao watakupa ushauri nzuri na tatizo litamalizikaNi bati la ALAF migongo mipana yani imepauka balaa
weka picha mkuuNi bati la ALAF migongo mipana yani imepauka balaa
Sikuwa na simu kubwa ya kufanya hivyoweka picha mkuu
Ni bati la ALAF migongo mipana yani imepauka balaa