INAUZWA Bati migongo mikubwa na versatile kwa bei nafuu kabisa

INAUZWA Bati migongo mikubwa na versatile kwa bei nafuu kabisa

pros ujenzi

Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
31
Reaction score
90
Gauge 30
Migongo mipana (IT-5)> 23,500/=

Gauge 28
Migongo mipana. (IT-5)> 33,000/=
Migongo vigae (versatile)> 36,000/=

Pia tunakata kwa mita (special meter).

Kama wewe ni muhitaji wa bati tuwasiliane kupitia
SIMU / WhatsApp 0658 339 930
…….....…................................
Tunapatikana tabata jijini dsm
OFA YA USAFIRI KWA WAKAZI WA DSM na mikoani tutakutumia

FB_IMG_15856496726065236.jpeg
FB_IMG_15855790713069572.jpeg
FB_IMG_15856134902270864.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
KARIBUNI SANA
 
Karibu wakuu Bati zetu ni bora na imara sana, kuna member mmoja Kutoka Jf amesha toa oda yake
 
Karibuni wakuu kesho natuma mzigo Dodoma kama kuna mdau yeyote wa Dodoma atahitaji mzigo anichek haraka nae ajipatie Bati zetu, kamwe hatojuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gauge 30
Migongo mipana (IT-5)> 23,500/=

Gauge 28
Migongo mipana. (IT-5)> 33,000/=
Migongo vigae (versatile)> 36,000/=

Pia tunakata kwa mita (special meter).

SIMU / WhatsApp 0658 339 930
Pia kama wewe ni Mhitaji wa BATI, Fundi kupaua au Mdau wa ujenzi kuona PRICE LIST YETU jiunge na WhatsApp group kwa kubofya link hii Pros building materials

KOFIA NA MISUMARI VIPO | Karibu
…….....…................................
OFA YA USAFIRI KWA WAKAZI WA DSM IPO WAHI SASAView attachment 1420820View attachment 1420821View attachment 1420822

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei za Romantile, tekdek zikoje ?
 
Karibuni wadau, mzigo bado upo wa kutosha huku ukipata ofa ya usafiri bure kabisa,

Group hili ni Kwa watu serious tu na wenye uhitaji, MKARIBISHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brand ya mabati yako ni ipi?!

Kuna ALAF; KIBOKO n.k wewe ni gani?

Niko mkoani, weka bayana tufanye kazi.
 
Huyu jamaa mashaka matupu, anaulizwa brand anajibu kitu kingine. Hivi unaogopa nini kutaja brand ya hayo mabati, sema tu ukweli hata kam ni yale ya kichina usiogope kuna wenye kuyahitaji hayo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama siyo ALAF achana nayo
Soko ni kubwa sana mkuu, kwa huo mtazamo maana yake mikate au juice tunaweza sema kama sio za AZAM achana nazo, kuna factors nyingi zinazofanya MTU achukue bidhaa Fulani sehemu fulani nimesha Fanya miradi mingi sana ya binafsi na ya serikali karibia kila siku napata oda, je unataka kisema hawa wote hawajui kama kuna huko ulikotaja?

Kikubwa ni ubora Wa bidhaa na umakini wako wakati Wa manunuzi ndio maana hata sisi huwa tunajitahidi sana kumuelekeza Mteja wetu na siku zote biashara nzuri huwa ikijitangaza yenyewe sisi bati zeti ni nzuri sana
 
Kumbe kuandika unajua mbona hujibu maswali ya Wateja wako watarajiwa??
Unadhani kila mtu ana simu janja ajiunge huko kwenye grupu lako la WhatsApp?
Na kama unataka kutolea majibu kwenye grupu kwanini hukutangazia huko?
Jiongeze kwa kuweka clear details na kujibu maswali ya wateja la sivyo utaonekana ni msela mavi.
Soko ni kubwa sana mkuu, kwa huo mtazamo maana yake mikate au juice tunaweza sema kama sio za AZAM achana nazo, kuna factors nyingi zinazofanya MTU achukue bidhaa Fulani sehemu fulani nimesha Fanya miradi mingi sana ya binafsi na ya serikali residential houses za kutosha karibia kila siku napata oda, je unataka kisema hawa wote hawajui kama kuna huko ulikotaja? Kikubwa ni ubora Wa bidhaa na umakini wako wakati Wa manunuzi ndio maana hata sisi huwa tunajitahidi sana kumuelekeza Mteja wetu na siku zote biashara nzuri huwa ikijitangaza yenyewe sisi bati zeti ni nzuri sana Karibu Pros building materials

Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930
 
Back
Top Bottom