pros ujenzi
Member
- Apr 16, 2020
- 31
- 90
Hata location tu kashindwa kwa hiyo hayo mabati tutayanunulia humu JFKutaja Brand name umezuiliwa??
Zala Na Nga
Bei za Romantile, tekdek zikoje ?Gauge 30
Migongo mipana (IT-5)> 23,500/=
Gauge 28
Migongo mipana. (IT-5)> 33,000/=
Migongo vigae (versatile)> 36,000/=
Pia tunakata kwa mita (special meter).
SIMU / WhatsApp 0658 339 930
Pia kama wewe ni Mhitaji wa BATI, Fundi kupaua au Mdau wa ujenzi kuona PRICE LIST YETU jiunge na WhatsApp group kwa kubofya link hii Pros building materials
KOFIA NA MISUMARI VIPO | Karibu
…….....…................................
OFA YA USAFIRI KWA WAKAZI WA DSM IPO WAHI SASAView attachment 1420820View attachment 1420821View attachment 1420822
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Karibu pros building material utapata Bei zote, kama kweli ni muhitaji soma vizuri andiko langu hapo juuBei za Romantile, tekdek zikoje ?
Tunapatikana dar es salaam,Brand ya mabati yako ni ipi?!
Kuna ALAF; KIBOKO n.k wewe ni gani?
Niko mkoani, weka bayana tufanye kazi.
Soko ni kubwa sana mkuu, kwa huo mtazamo maana yake mikate au juice tunaweza sema kama sio za AZAM achana nazo, kuna factors nyingi zinazofanya MTU achukue bidhaa Fulani sehemu fulani nimesha Fanya miradi mingi sana ya binafsi na ya serikali karibia kila siku napata oda, je unataka kisema hawa wote hawajui kama kuna huko ulikotaja?kama siyo ALAF achana nayo
Soko ni kubwa sana mkuu, kwa huo mtazamo maana yake mikate au juice tunaweza sema kama sio za AZAM achana nazo, kuna factors nyingi zinazofanya MTU achukue bidhaa Fulani sehemu fulani nimesha Fanya miradi mingi sana ya binafsi na ya serikali residential houses za kutosha karibia kila siku napata oda, je unataka kisema hawa wote hawajui kama kuna huko ulikotaja? Kikubwa ni ubora Wa bidhaa na umakini wako wakati Wa manunuzi ndio maana hata sisi huwa tunajitahidi sana kumuelekeza Mteja wetu na siku zote biashara nzuri huwa ikijitangaza yenyewe sisi bati zeti ni nzuri sana Karibu Pros building materials
Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930