INAUZWA Bati migongo mikubwa na versatile kwa bei nafuu kabisa

bati fake za mchina hizi, yaani hapo mvua na jua kidogo rangi inapauka yote. afadhalk kupaulia zisizokuwa na rangi mtu ujue moja kuliko kupaulia bati za rangi alafu zinakuja kubabuka ndani ya muda mfupi.
 
Ukimuuliza brand hataji. Huyu anaweza kukuuzia makuti ya kuezekea

Zala Na Nga
bati fake za mchina hizi, yaani hapo mvua na jua kidogo rangi inapauka yote. afadhalk kupaulia zisizokuwa na rangi mtu ujue moja kuliko kupaulia bati za rangi alafu zinakuja kubabuka ndani ya muda mfupi.
Mkuu usipende kukariri na kukaririshwa vibaya. Bati mbovu na fake ni ile inayopauka haraka na kupata kutu, ila suala LA rangi kupauka huwa lipo kwa bati zote za rangi kitakachotofautisha ni muda tu kuwa zipo zitakazo anza pauka mapema na zitakazo pauka baadae sana ila haziwezi pata kutu.

Bati zetu ni AluZinc huwa hazipauki mapema lakini suala LA kuapata kutu halipo na halijawahi tokea kwani baadhi ya wateja wetu wamekuwa wakirudi kuchukua mzigo mara ya pili tena Baada ya kutumia bati zetu kwa muda mrefu bila matatizo yoyote.
 
Sio lazima bidhaa iwe bora ndipo inunuliwe mfano wale wanaohitaji mabati ya kuzungushia kabla ya ujenzi unadhani wanahitaji mabati bora? nakazia tu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…