Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
Habarini nyote,
Naomben msaada wa kujua bati bora za rangi ni zipi, yaani zisizochuja na kushika kutu haraka, na bei gani....Maana nimetishwa kuwa kuna ambazo zikipigwa na mvua moja tu rangi yote kwisha.
Ahsanteni