Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
ALAF ndio yenyewe ingawa bei yake ni changamoto kulinganisha na zingine.chukua alaf, halafu rangi nzuri naonaga ni kijivui, hata ikipauka huwa haionyeshi.
Inaitwa charcoal grey hiyo rangichukua alaf, halafu rangi nzuri naonaga ni kijivu, hata ikipauka huwa haionyeshi.
kizuri gharama.ALAF ndio yenyewe ingawa bei yake ni changamoto kulinganisha na zingine.
naipenda sana ile na carrots huwa hata zikipauka hazionyeshiInaitwa charcoal grey hiyo rangi
Shilingi ngapiALAF ndio yenyewe ingawa bei yake ni changamoto kulinganisha na zingine.
Kabisa..kizuri gharama.