Bati zinauzwa, usafiri bure ndani ya Dar es Salaam

Duuuh, niliposoma kichwa cha uzi nikajua kuna usafiri mpya umeingia Dar unaitwa Bati.Bati na wameanza kutoa usafiri bure.

Nikasema acha nifungue uzi nijipatie taarifa nami kesho nipande usafiri wa bure maana mfuko wangu hautoshelezi kulipia uber.
Wewe lipia bati wakati zinasafirishwa wewe utapanda bure uchunge mzigo wako.
 
Dah huu uzi umenihamasisha sana. Nimejifunza mengi kuhusu bati.

Mnatoa warrant card? Naona watu wanaongelea sana Alaf na Ando lakin naona huku kuna vutia
Sio card maalumu kwa warrant tu ila imejumuisha taarifa zako zote za ununuzi wa mzigo pamoja na malipo yako unaitumka kama warrant form pale litakalo tokea lolote kuusuana na ubovu wa bidhaa kabla ya kipindi ulichopewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…