Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.
CCM wengi hawamjui Mungu na jinsi anavyofanya na hivyo wengi wao hawana hofu kabisa. Naamini Mungu atasaidia haki itendeke.
 
Who is he anyway! kurudia kuhesabu for wht reason! naona sasa wanataka damu imwagike!
 
:nono::nono::nono😀uh! CCM watatumaliza inaonekana stail mpya ya uchakachuaji ni ku-recount, Mungu atusadie damu isimwajike!!!
 
Nilivyosikia mimi (tetesi) ni kwamba Batilda kashinda ubunge Arusha. Mpaka NEC wakitangaza, humu ndani tunakuwa tunazinguana tu.
 
kama mnaijua tabia yake hiyo ilikuwaje mumpigie debe na kumpa kura!!!!! Sasa siri yenu ndio inaanza kutoka taratibu......,kumbe munalazimisha viongozi bomu halafu mnatudanganya kuwa wako safi!!! Aibu gani hii!!!

jamani let us use our commn sense kati ya hawa wawili nani boumu anayekataa kukubali sauti ya umma au anayetaka kununua uongozi kwa kiasi kikubwa hivyo cha fedha wakati kuna watu wenye shida zisizokuwa na mwisho. ubinafsi huu hawajali hata kidogo taifa hili.
 
Wana JF,Uovu u umekithiri. Nguvu kubwa ya kushinda sasa ni kutumia silaha zitokanzo na Mungu Muumba wetu. Atatupa akili na uwezo pia ataangamiza kila nama ya uovu na fikra zenye nia mbaya kinyume na KURA ZILIZOPIGWA. TUWE MACHO WOTE
 
Hivi Lowasa ni nani hadi atoke Monduli kuja ofisi za manispaa Arusha, TUAMKENI HAKUNA MSHINDI ZAIDI YA LEMA ushaidi upo kwa kila kata
 
Shauri yake wamshauri asaini yasije mkuta ya mama mbega wa Iringa naskia kalazwa govt Hospital Iringa
 

sasa kama anakataa kusaini basi ateuliwe kuwa malkia wa arusha mjini ili asigombee uchaguzi bali awe kwenye madaraka bila kuchaguliwa
 
Kwa jinsi hali inavyoendelea hapa, lazima kuna jambo kubwa linapangwa huko ndani!
 
Batilda sasa niwakati wa kuchukua hatau inayofuata ambayo ni KUSAUN U MATOKEO ya kura
 
Hao si ndo walikuwa wa kwanza kusema wapinzani wakubali matokeo sasa vipi tena kwao?
Lazima walinywe, maana washalikoroga
Sasa kibao kimegeuka. Hakuna jinsi inabidi akubali tu.
 
Kama hali ndiyo hivyo, hata kura za Mgombea Rais wa CHADEMA si ndiyo itachakachuliwa?
 
CCM kama mnapenda sana Batilda basi tunawaomba muwaachie watu wa Arusha utulivu wao. Mpeni kiti cha kudumu CCM.
 
Mbona Ruta anasema Lema kashatangazwa? au ni uzushi?
 
Mpaka sasa Batilda hajasaini na anasemekana eti anaongoza kwa kura kidocho!!!! Yaani hawa CCM wanawarubuni hata waandishi!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…