Ngoja tusubiri Hoja zake , tuone, lakini kwa hadhi yake anajitengenezea Ombwe na lakuangua na kupotea kabisa,
Mbona mmekazania sana mahakamani kwani hapajui msindikizeni kama mnataka.Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!
Kwaheri Batilda............:israel:
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!
Kwaheri Batilda............:israel:
Yeah hawa waliolewa uluwa wa madaraka ndio kawaida yao kila wakishindwa.Hii ni people revolution so hata akienda mahakamani bado haisadiii.aluta Continua😛eace:Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!
Kwaheri Batilda............:israel:
Mbona Mahakama zitakuwa buzy sana mwaka huu. Mnakumbuka 1995?
Nitakuwa tayari kushiriki katika Timu ya Mawakili kupambana naye. Akifungua ajue naye atafunguliwa kesi ya kujibu mapigo (Counter-Claim). Na hapo ndipo atajua tofauti ya sheria na siasa. Aanze sisi tutamalizia.
Apotelee mbali, kwanza hako kamama kana udini sana. simpendi kuliko sijui nini sijui. wana arusha msikubali.
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!
Kwaheri Batilda............:israel: