kama avatar yakoWatu wengine ni viumbe wa ajabu sana! Inawezekana labda alikwenda kwa sangoma, sijui "Sheh Hayahaya Usoni" akaliwa hela, akalala hukohuko na kuhakikishiwa kuwa atashinda! Mambo yamekwenda ndivyo sivyo haamini kilichotokea, anag'ang'ania ameshinda! Mwambieni akafanye shughuli zingine ambazo hufanywa na mama zetu mitaani za kujitafutia kipato ili apate uzoefu kamili wa maisha ya uswazi! huyo aliye mwambia kazi ni ubunge tu alimmaliza kisaikolojia! Akafugue hata genge la mama lishe atapata wateja tena mpaka wa kimataifa hapo A-Town. Mpeni ushauri nasaha!
Ndiyo lakini ukimkuta anaongea utadhani mtu wa la saba...ni bora aende aka-apply hiyo profesheno yake sehemu husika...ni vyema tu akienda court...
then tutasikia matokeo yake
ivi ni Dr by profesheno?
Zilifunguliwa kesi zaidi ya 124 dhidi ya CCM. Kutokana wingi huo ndio maana wakaweka kiwango cha kinga ya gharama za kesi milioni tano kwa kila mtu unayemshtaki ambao huwa ni watatu yaani, mshindi, msimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu. Jumla milioni 15. Wengi hawana hizo pesa na hiyo iliwazuia watu wengi kufungua kesi. Sasa waweze ruhusa ya mahakama kutolipa pesa hizo ambayo nayo ni kesi ndani ya kesi.