Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Marando yupo stand-by...hawataweza!Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi mgombea wa CHADEMA Godbless Lema. Hivyo hali bado bado ni tete kwani baada ya jufanya fitna za kila aina na kushindwa sasa ushindi wao wanaamini upo mahakani ambako huko kila aina ya fitna itafanywa ili kuhakikikshwa ushindi huu wa jimbo muhimu unapokwa.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi mgombea wa CHADEMA Godbless Lema. Hivyo hali bado bado ni tete kwani baada ya jufanya fitna za kila aina na kushindwa sasa ushindi wao wanaamini upo mahakani ambako huko kila aina ya fitna itafanywa ili kuhakikikshwa ushindi huu wa jimbo muhimu unapokwa.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.
Marando yupo stand-by...hawataweza!
Mambo ya kitoto hayo..
Washaurini wasitafute aibu!
Usimfiche mjomba, weka mambo hazarani...kwani nini bana!Wazee nawathibitishieni kuwa Lowasa jana alitinga na fuko la fedha tayari kumnunua Lema lakini ilishindikana, sasa mlango ulibaki ni huo na chanzo cha habari ni mtu wa karibu na Lowasa ambaye naye kama keshapeta nafasi ya ubunge kwa jimbo fulani hivi.
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi mgombea wa CHADEMA Godbless Lema. Hivyo hali bado bado ni tete kwani baada ya jufanya fitna za kila aina na kushindwa sasa ushindi wao wanaamini upo mahakani ambako huko kila aina ya fitna itafanywa ili kuhakikikshwa ushindi huu wa jimbo muhimu unapokwa.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.
tutampiga mawe pamoja na kwamba mimi ni ccm :a s angry:
Goooosh!!! Nani huyo?...Mungu wa Israel!Kwa nini asiende kugombea kwao Somalia? Kwa nini hawa raia wa kigeni wanatuletea tabu sana hapa Tanzania hawana kwao?
Kwa nini asiende kugombea kwao Somalia? Kwa nini hawa raia wa kigeni wanatuletea tabu sana hapa Tanzania hawana kwao?